Mwanafunzi wa zamani ashambulia shule kwa bunduki Marekani

  • | VOA Swahili
    408 views
    Marekani: Wanafunzi watatu na watu watatu wauawa katika shambulizi la bunduki shule ya Nashville. Bendera kwenye ikulu ya Marekani pamoja na majengo ya serikali , zitapeperushwa nusu mlingoti hadi machi 31 jioni kufuatia vifo vya wanafunzi watatu na watu wazima watatu kwenye shule ya Nashville katika jimbo la Tennessee, kutokana na shambulizi la risasi Jumatatu, Machi 27. #mauaji #voa #nashville #tennessee #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.