Je, kwa nini ubadhirifu haujaweza kudhibitiwa Tanzania?

  • | VOA Swahili
    179 views
    Mchambuzi wa mambo ya siasa nchini Tanzania aeleza kuendelea kuibuliwa kwa ubadhirifu kila mara taarifa za Mkaguzi wa Serikali na Takukuru zinapotolewa ni ishara kuwa hatua stahiki hazichukuliwi kwa wanaohusika. Ungana na mwandishi wetu wa Dar es Salaam akikuletea baadhi ya mapendekezo yanayoweza kurekebisha tatizo hili na kulikomesha. Endelea kusikiliza... #mchambuzi #siasa #tanzania #ubadhirifu #mkaguziwaserikali #takukuru #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.