- 159 viewsWatu wa jamii ya Wapemba nchini Kenya waungana katika harakati za kupata uraia wa Kenya. Kiongozi wao anaeleza kuwa wanakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutoweza kumiliki mali zao wao wenyewe. Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa akikuletea historia na juhudi za Wapemba katika mchakato wa kupata uraia na matatizo wanayokabiliwa nayo. #jamii #wapemba #kenya #harakati #uraia #kiongozi #hati #mombasa #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kenya: Watu wa jamii ya Wapemba waeleza matatizo yanayowakabili
- 5 May 2024 - Ahead of the University of Michigan's commencement on Saturday, the school has trained staff volunteers on how to mitigate disruptions: a change from the usual duties of guiding guests around campus and showing them to their seats.
- 5 May 2024 - Hamas negotiators began intensified talks on Saturday on a possible Gaza truce that would see a halt to the fighting and the return to Israel of some hostages, a Hamas official told Reuters, with the CIA director already present in Cairo for the indirect…
- 5 May 2024 - Russia launched an overnight drone attack on Ukraine's Kharkiv and Dnipro regions, injuring at least six people and hitting critical infrastructure, commercial and residential buildings, regional officials said on Saturday.
- 5 May 2024 - At least 42 deaths have been recorded from a measles outbreak in just over a week in Nigeria's northeastern state of Adamawa, the state's health commissioner said on Friday.
- 5 May 2024 - German company HyImpulse successfully launched on Friday a candle wax-powered rocket capable of carrying commercial satellites on a test suborbital flight into space for the first time.
- 5 May 2024 - The death toll from rains in Brazil's southernmost state of Rio Grande do Sul rose to 56, local authorities said on Saturday morning, while dozens still have not been accounted for.
- 5 May 2024 - The World Meteorological Organization warns that Tropical Cyclone Hidaya, which is projected to make landfall in Tanzania and Kenya this weekend, threatens to worsen the humanitarian crisis triggered by torrential rains in these and other heavily flooded…
- 5 May 2024 - Bridging the digital divide calls for inclusive development
- 5 May 2024 - Residents evacuated in Coast as Cyclone Hidaya slams Tanzania
- 5 May 2024 - Ministry issues cholera alert amid floods, medics' strike