- 243 viewsMakamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris atajitokeza katika mstari wa mbele wa mapambano ya demokrasia Afrika siku ya Alhamisi, akiwa nchini Tanzania wakati nchi hiyo ikipiga hatua katika kurejesha sifa yake kama serikali yenye kujumuisha watu mbalimbali kitaifa. Samia Suluhu Hassan, rais wa kwanza mwanamke Tanzania, ameondoa baadhi ya sera kandamizi, kama vile kupiga marufuku mikutano ya upinzani, licha ya kuwa aliingia madarakani kama mwanachama wa chama tawala. Harris, mwanamke wa kwanza kuhudumu nafasi ya makamu wa rais wa Marekani, atakutana na Samia Alhamisi, ikiwa ni ishara muhimu ya kuungwa mkono na Washington wakati Marekani ikiimarisha ushirikiano wake na Afrika. #tanzania #samiasuluhuhassan #kamalaharris - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Tanzania Yamkaribisha Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris
- 6 May 2024 - Senate PAC committee wants NMS management probed over Ksh.16B pending bill
- » How Holocaust researchers are using AI to search for unnamed victimsResearchers in Israel are turning to artif6 May 2024 - Researchers in Israel are turning to artificial intelligence (AI) to comb through piles of records to try to identify hundreds of thousands of Jewish people killed in the Holocaust whose names are missing from official memorials.
- 6 May 2024 - Russia said on Monday its forces had captured two more frontline villages in Ukraine, including in the northeast Kharkiv region, where Kyiv had repelled Moscow's troops earlier in the conflict.
- 6 May 2024 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has obtained High Court orders preserving $460,000 (Ksh.62,100,000) the anti-graft body seized in the ongoing investigation into former Cabinet Secretary and Marsabit Governor Ukur Yatani.
- 6 May 2024 - Chief Justice Martha Koome has directed Magistrates’ Courts countrywide to conduct Rapid Results Initiatives to finalise cases that have been pending for over three years.
- 6 May 2024 - The National Assembly special committee probing the impeachment motion against Agriculture Cabinet Secretary Mithika Linturi is expected to table its findings to Parliament next Monday.
- 6 May 2024 - He is accused of packaging soil disguised as organic fertiliser and selling to farmers.
- 6 May 2024 - Kindiki interacted with Kenyans who were waiting to be served
- 6 May 2024 - A forensic Laboratory equipment, for DNA test reports will be set up at the Kenya Women’s and Children’s Wellness Centre in an effort aimed at ensuring gender-based violence victims get access to justice. The Kenya Women’s and Children’s Wellness Centre…
- 6 May 2024 - The awards seek to honour outstanding journalism that sheds light on issues vital to communities.