Marekani kushirikiana na Tanzania katika teknolojia ya mtandao
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ipo tayari kufanya majadiliano na Marekani kuhusu suala la Visa ya muda mrefu ili kuwawezesha raia wa nchi hizo mbili kunufaika na mpango wa Visa ya muda mrefu.
-
Kwa upande wake makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amemhakikishia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Marekani itashirikiana na Tanzania katika maendeleo ya teknolojia ya intaneti yenye kasi zaidi ya 5G ikiwa ni moja ya kujenga ushirikiano kati ya nchi ya Marekani na Tanzania.
Kamala Harris ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi.
🎥: @mtenganicholaus & @frankmavura
#bbcswahili #tanzania #marekani
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial
21 Aug 2025
- Court shocker: Man not married despite 10-year union, children
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour