Wanahabari watano wajeruhiwa katika maandamaano ya Azimio jijini Nairobi

  • | K24 Video
    919 views

    Wanahabari watano wamejeruhiwa katika maandamaano ya Azimio hapa jijini Nairobi. miongoni mwa waliojeruhiwa ni wapiga picha wa KTN na NTV ambao wanauguzwa hospitali.