Jazanda ya Mathare, Jacaranda na katikati mwa jiji Katika siku ya tatu ya maandamano ya Azimio

  • | K24 Video
    580 views

    Katika siku ya tatu ya maandamano ya Azimio, kulishuhudiwa utulivu katikati mwa jiji la Nairobi japo wafanyabiashara wengi walisalia kufunga biashara zao na wachache waliofungua walipata wateja wachache. Katika mitaa ya Mathare kuna baadhi ya waandamanaji waliotiwa mbaroni na uwanjani Jakaranda polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji.