- 2,309 views
Idadi ya waliofariki kwenye ajali iliyohusisha basi la chuo kikuu cha Pwani na matatu katika eneo la Naivasha imeongezeka na kufikia watu 17. Hii ni baada ya watu wengine watatu kufariki kutokana na majeraha waliyopata. Wanafunzi kumi na mfanyikazi mmoja wa chuo kikuu cha Pwani walifariki kufuatia ajali hiyo iliyotokea katika barabara ya nairobi kuelekea nakuru.manusura wanasema waliagizwa kufunga mikanda ya usalama muda mfupi kabla ya basi hilo kugonga matatu na kuanguka kwenye mtaro. waziri wa afya wa Nakuru Jackline Osore amesema watu 76 wametibiwa katika hoaspitali ya kaunti ya Naivasha huku waliofariki wakikata roho kwenye eneo la mkasa au wakitibiwa. watu 12 wamesafirishwa hadi katika hospitali ya Kenyatta na hospitali ya mkoa ya Nakuru kwa matibabu maalum. Basi hilo lilikuwa na wanafunzi 62.
Idadi ya waliofariki kwenye ajali eneo la Naivasha imefikia watu 17
- 13 May 2025 - A Nairobi City Water and Sewerage Company (NAWASCO) employee who was arrested over allegations of forgery of an academic certificate has been arraigned.
- 13 May 2025 - Bungoma Governor Kenneth Lusaka has reassured sugarcane farmers and workers of Nzoia Sugar Company that the government is working round the clock to settle the outstanding dues.
- 13 May 2025 - Agriculture CS Mutahi Kagwe has clarified that no sugar factory in Kenya has been sold, stating that the government has only leased them out through a transparent process that received full Parliamentary approval.
- 13 May 2025 - In a bid to recover billions of shillings in unpaid land rates, Nairobi County on Tuesday launched a sweeping clampdown on buildings in the Central Business District (CBD), marking the beginning of a far-reaching campaign targeting landowners who have…
- 13 May 2025 - The Employment and Labour Relations Court in Kakamega has given a green light to a case filed by 17 doctors citing their unpaid salaries and alleged unfair dismissals by the county government.
- 13 May 2025 - Kirinyaga Woman Representative Njeri Maina has been honoured with the prestigious Voice of Reason Award at the Thamani Awards ceremony held at the KCB Leadership Centre in Nairobi.
- 13 May 2025 - The latest report highlights a paradigm shift from the traditional income-generating investments to value-driven luxuries.
- 13 May 2025 - The Senators claim that some vendors are promoting fraud.
- 13 May 2025 - During Ruto's visit to Beijing last month, the government indicated plans to enlist Chinese firms for the improvement.
- 13 May 2025 - A health crisis is looming in the country after the Kenya National Union of Nurses (KNUN) on Tuesday threatened to join a doctors' strike over unmet promises.