SHAJARA NA LULU: Bernard and Violet walioana wakiwa na HIV [Part 1]

  • | Citizen TV
    2,756 views

    Simulizi la Bernard Mwololo la Violet Mukabana. Wawili walioana wakiwa wameambulkizwa virusi vya HIV. Bernard na Violet wanadhihirisha mapenzi kwa dhiki na raha. #SemaNaCitizen #Shajara