Mwanamke mmoja amethibitishwa kuuwawa kwa njia tatanishi eneo la Bombululu, Mombasa

  • | Citizen TV
    7,453 views

    Mwanamke mmoja amethibitishwa kuuwawa kwa njia tatanishi na mwili wake kutupwa katika kichaka huko Bombululu Moroto, Nyali, kaunti ya Mombasa. Kulingana na wenyeji , hilo sio tukio la kwanza kufanyika, na sasa wanataka hatua madhubuti kuchukuliwa.