Wakulima wahofia kucheleweshwa kwa mbolea Trans nzoia

  • | Citizen TV
    610 views

    Kufuatia idadi kubwa ya wakulima ambao hupiga foleni katika maghala ya NCPB, wakulima kaunti ya Trans-Nzoia wanahofia huenda wakakosa kupata mbolea kwa wakati unaofaa wa upanzi. wakulima hao wanasema kuwa kuchelewa kwa mbolea kutaathiri uzalishaji wa chakula msimu huu. Collins shitiabayi anaangazia hofu za wakulima hao.