Waandamanaji wapora mali ya duka kuu la jamia mjini Kisumu

  • | Citizen TV
    3,073 views

    Wafanyabiashara katika kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya zaidi ya shulingi milioni ishirini, kufuatia uvamizi wakati wa maadamano ya siku ya Alhamisi. Makundi ya vijana yalivamia duka kuu katika eneo la Juakali na kuiba mali yenye thamani ya shilingi milioni 15