"Huwezi kuyakuta katika eneo lingine lolote hapa Tanzania"
Huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania unapozungumzia usafiri wa umma 'daladala' ni tofauti na ule uliozoeleka maeneo mengine ya nchi hiyo.
Malori ambayo yamegeuzwa matumizi yake, nyuma yakiwa wazi huku abiria wakikaa kwa mtindo wa kutazama ndio usafiri wa umma unaotumika visiwani humo.
Ni aina ya usafiri uliowahi kutumika miaka mingi iliyopita Tanzania bara ukifahamika kama 'Chai. maharage'.
Mwandishi wa BBC ,Esther Namuhisa alitembelea visiwani Zanzibar nakujionea aina hiyo ya usafiri na kuandaa taarifa hii.#usafiriwaumma
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- Court shocker: Man not married despite 10-year union, children
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial