Mwanafunzi mzee zaidi Rwanda
Akiwa na umri wa miaka 54, Rusengamihigo anabeba rekodi ya kuwa mwanafunzi mwenye umri mkubwa zaidi nchini Rwanda katika shule za msingi na sekondari.
Bwana Jean Marie Vianney Rusengamihigo ni mwanafunzi wa mwaka wa tano katika shule ya msingi ya SHANGI katika Wilaya ya Nyamasheke Magharibi mwa Rwanda.
Aliamua kurudi shuleni baada ya miaka 39, Lakini ni nini kilimfanya arudi shuleni?
Mwandishi wa BBC Yves Bucyana alimtembelea na kuandaa taarifa hii.
#bbcswahili #rwanda #elimu
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial
21 Aug 2025
- Court shocker: Man not married despite 10-year union, children
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour