Dunia Wiki Hii | Rwanda yaadhimisha miaka 29 tangu mauaji ya halaiki dhidi ya kabila la Watutsi

  • | KBC Video
    22 views

    Katika makala ya juma hili, 15th March 2023

    Rwanda yaadhimisha miaka 29 tangu mauaji ya halaiki dhidi ya kabila la Watutsi huku miito ya umoja ikikaririwa.

    Shirika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo lasema bei za vyakula duniani zilipungua kwa mwezi wa 12 mfululizo.

    Visa vya maambukizi ya COVID-19 nchini India vyaongezeka huku ikinakili zaidi ya visa elfu-5 vipya katika muda was aa 24 juma hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #DuniaWikiHii #TheGreatKBC