Iran yasema kuna uwezekano Rais wake akifanya ziara Saudi Arabia

  • | VOA Swahili
    397 views
    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kwamba kuna uwezekano wa Rais wa Iran kufanya ziara Saudi Arabia. Ungana na mwandishi wetu akikuletea makubaliano ambayo yamefikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia na yanahusisha maeneo gani? #saudiarabia #iran #ziara #raiswairan #uhusiano #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.