Shirika la ustawishaji kilimo nchini, ADC laanzisha mikakati ya upanuzi wa uzalishaji wa vyakula

  • | Citizen TV
    520 views

    Shirika la ustawishaji kilimo nchini ADC limeanzisha mikakati ya upanuzi wa uzalishaji wa vyakula ili kupunguza kutegemea vyakula kutoka mataifa ya kigeni.