Maiti 9 zaidi zafukuliwa eneo la Shakahola

  • | Citizen TV
    582 views

    Maiti 9 zaidi zimepatikana hii leo katika eneo la Shakahola, kaunti ya Kilifi, shughuli ya kufukua makaburi ikiendelea. Na kufuatia taarifa hizo jumla ya maiti zilizopatikana shakahola kufikia sasa ni 58.