Mradi wa gesi asilia itokanayo na kinyesi cha kuku

  • | BBC Swahili
    390 views
    Katika kupungaza athari zinazosababishwa na mkaa ikiwemo uharibifu wa mazingira na afya za watumiaji, mmoja wa wajasiriamali mkoani Kilimanjaro wameanzisha mradi wa gesi asilia itokanayo na kinyesi cha kuku huku akiwa na uwezo wa kuhudumia kaya zaidi ya 100 na mamia wakitaka kuunganishiwa huduma hiyo. Mwandishi wa BBC, @lasteck2023 alitembelea wakazi wa Moshi vijijini, mkoani Kilimanjaro na kuandaa taarifa hii 🎥 @eagansalla_gifted_sounds_ #bbcswahili #tanzania #mazingira