Kenya yaamua kulifufua shirika la usafirishaji wa majini - Kenya Shipping Line

  • | VOA Swahili
    333 views
    Waziri wa Masuala ya Baharini Kenya Salim Mvurya asema nchi yake imeamua kuifufua Kenya Shipping Line liwe ni shirika ambalo litaweza kuendeleza shughuli za biashara ya usafirishaji wa majini. Pia endelea kusikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania Abdi Mkeyenga kuhusu agenda ya mkutano wa Muungano wa Mamlaka za Uchukuzi Baharini Barani Afrika uliofanyika nchini Kenya. #mtaalam #uchumi #afrikakusini #zamachoncochonco #nchizaafrika #mamlakazauchukuzibaharini #shirikisholakimataifalamasualayabahari #voa #voaswahili #dunianileo #ulaya #asia- - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.