Kaka yake na Mchungaji wa kanisa lenye utata nchini Kenya Paul Mackenzie anasema kwamba kaka yake alikuwa "mtu mwema" na mfano kwa jamii yake labda kama alibadilika baadaye.
Paul Mackenzie anadaiwa kuwahimiza wafuasi wake kufa njaa. Zaidi ya miili 200 kufikia sasa imetolewa katika msitu wa Shakahola nchini Kenya huku wengine zaidi ya 600 wanaoripotiwa kuwa washiriki wa ibada ya siku ya mwisho bado hawajulikani walipo.
Mchungaji Mackenzie kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa polisi.
#bbcswahili #kenya #shakahola
20 Aug 2025
- Speaking on Wednesday after a joint dialogue with the United Nations Development Programme (UNDP) on training and capacity building, IG Kanja emphasized that the National Police Service is fully in charge of security arrangements and expects “normalcy”…
20 Aug 2025
- Two people died on Wednesday while three others sustained serious injuries in a tragic road accident near Ting’ Wang’i junction along the Siaya-Bondo road in Siaya County.
20 Aug 2025
- Mobility platform Bolt has launched a first-of-its-kind dash cam in Kenya in collaboration with AI-based mobility tech firm Driver Technologies, giving drivers access to advanced safety technology at 75% off premium.
20 Aug 2025
- Teresia Chepkemoi Chepkwony, a revenue collector, technician, and marketing assistant with the water company, was charged with forging a KCSE certificate bearing a C plus mean grade from Boron Secondary School on or about September 18, 2017, and…