Wazazi wa shule ya Muget Moiben wafunga shule kutokana na hali duni ya masomo

  • | Citizen TV
    989 views

    Wazazi wa shule ya sekondari msingi ya Muget huko Moiben kaunti ya Uasin Gishu wamefunga shule hiyo kwa muda usiojulikana wakilalamikia wanao kutofunza ilhali muhula wa pili unaendelea. wazazi hao wanasema kuwa Shule hiyo ina mwalimu mmoja tu wa JSS anayewafunza watoto 45.