Kamati inayotafuta maoni yakutana na wakazi Garissa

  • | Citizen TV
    126 views

    Mchakato wa kutafuta maoni kuhusu katiba itakayounganisha mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imeshika kasi huku wananchi wa mataifa hayo wakiunga mkono pendekezo hilo.