Caroline Jeptanui na Denis Kibet waibuka washindi wa makala ya kwanza ya mbio za Girls Run

  • | Citizen TV
    346 views

    Caroline Jeptanui na Denis Kibet waliibukawashindi wa makala ya kwanza ya mbio za Girls Run zilizofanyika katika eneo la Kapsisiywa kaunti ya Nandi