Magari ya mahindi yazuiliwa nchini Tanzania

  • | Citizen TV
    399 views

    Wafanyibiashara pamoja na madereva wanaohusika na usafirishaji wa mahindi kutoka nchi jirani ya Tanzania hadi humu nchini wanataka hatua za haraka kuchukuliwa. Hii ni baada ya magari yao ya masafa marefu kutoka nchi jirani ya Tanzania kuzidi kuzuiliwa katika mpaka wa Taveta-Holili kwa zaidi ya siku tatu. Wafanyabiashara hao sasa wakisema bidhaa zao zinazidi kuharibikia mpakani hatua wanoyosema kutowekwa kwa miundo misingi kabambe na wahusika wanaofanya uchunguzi wa vyakula vinavyoingia humu nchini.