Wakazi wa kaunti ya Pokot waitaka serikali kuwalipa ridhaa walioangamia kutokana na utovu wa usalama

  • | Citizen TV
    159 views

    Wakazi wa eneo la Sarmach kaunti ya Pokot Magharibi wanaitaka serikali kuwalipa ridhaa waliopoteza maisha kutokana na utovu wa usalama. Haya yanajiri huku waziri wa Usalama Kithure Kindiki akiandaa mkutano wa amani katika eneo hilo, na kuwataka wakazi kuwasaidia maafisa wa usalama kuwatambua wahalifu.