Wanafunzi katika kaunti ya Wajir wafaidika kutokana na mpango wa sodo

  • | Citizen TV
    260 views

    Wasichana katika kaunti ya Wajir wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti hiyo kuzindua mpango wa kuwapa Sodo wanafuzi kutoka kaunti zote sita ndogo.