Polisi jijini Nakuru wazuilia washukiwa watatu wa uhalifu

  • | Citizen TV
    1,192 views

    Vita dhidi ya magenge ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiwahangaisha wenyeji wa Nakuru kwa muda sasa huku maafisa wa usalama katika eneo la Kaptembwa wakimkata mshukiwa anayeaminika kuwa kiongozi wa genge moja la uhalifu eneo hilo. Kiongozi huyu akiwa miongoni mwa wengine wawili waliokamatwa katika operesheni ya usalama. Evans Asiba anaungana nasi kutoka kituo cha polisi cha Kaptembwa ambako watatu hao wanazuiliwa