- 949 views
MwenyeKiti wa Kamati ya Bajeti Ndindi Nyoro amewahakikishia wakenya ya kuwa serikali itatilia maanani Maoni yao kuhusu bajeti na mswada wa fedha wa mwaka 2023. Akizungumza wakati wa ibada ya shukrani katika kanisa la ACK Ndutumi , Nyoro amesema bajeti imetilia uzito masuala ya Masomo, miundo msingi , kilimo na Afya miongoni mwa sekta zingine ili kubadili maisha ya wananchi. Gavana wa Murang'a Irungu Kang'ata ameitaka Serikali kusambaza mgawo wa fedha kwa Kaunti haraka ili kuwezesha kaunti kutimiza majukumu yake.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Ndindi Nyoro asema serikali itazingatia maoni ya wananchi
- 3 Aug 2025 - This group is gathering steam, educating the masses by disseminating pertinent information
- 3 Aug 2025 - Harambee Stars ready to roar against DR Congo in CHAN opener
- 3 Aug 2025 - While the State House tour appeared leisurely, political observers argue it was loaded with symbolism.
- 3 Aug 2025 - Beadwork empowers northern Kenyan women with steady income, reduces household conflict, and funds conservation.
- 3 Aug 2025 - Elisha Asumo was charged in absentia as he awaits a decision from Moroccan courts on whether to extradite him to the US.
- 3 Aug 2025 - The party has had to balance between being simultaneously in government and opposition
- 3 Aug 2025 - It's emerging that Sh65 billion in contractor payments has been released already
- 3 Aug 2025 - Dream of liberal left-of-centre movement in jeopardy due to party split over government truce
- 3 Aug 2025 - Constitutional timelines for exercise lapsed in March 2024 due to absence of commissioners
- 3 Aug 2025 - The time for Harambee Stars to make Kenyans happy is now