Ushuru wa bidhaa za petroli kupanda kutoka 8% hadi 16%

  • | Citizen TV
    1,996 views

    Kamati ya fedha sasa imependekeza kuwa asilimia 16 ya ushuru kwa bidhaa za petroli isalie kama ilivyo kwenye mswada wa fedha. Hata ingawa washikadau mbalimbali walilalamika kuwa hatua hiyo itaongeza gharama ya maisha nchini, kamati ya fedha imedinda kuondoa pendekezo hilo