Jamii ya wahindi hapa Kenya yaadhimisha miaka 75 ya uhuru wa taifa la India

  • | Citizen TV
    131 views

    Raia Kutoka Nchi Ya India Hapa Jijini Nairobi Waliungana Pamoja Katika Ukumbi Wa Jalaram Parklands Kwa Sherehe Ya Kitamaduni Ya Kusherehekea Miaka 75 Ya Uhuru Wao.