Hospitali ya kuwahudumia punda katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    160 views

    Lamu ni kaunti ya pekee iliyo na hospitali ya kuwahudumia punda. Hospitali hii hutumiwa na wakaazi wa Lamu ili kuwatibu punda kwa magonjwa mbalimbali. Hospitali hii pia imekua ikitoa hamasisho kwa jamii ya Lamu kuwatunza punda wao ili punda hao waendelee kuwapa mapato yao ya kila leo.