Afya ya kina mama katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    89 views

    Kina mama kujifungua nyumbani katika kaunti ya samburu kumesemekana kuchangia ongezeko la kuzaliwa kwa watoto njiti, pamoja na vifo vya kina mama wanapojifungua. hali hiyo imewashinikiza wadau katika hiyo kuanzisha makao maalum ya kina mama wajawazito wanaotarajia kujifungua katika hospitali ya rufaa ya Samburu ili kukabiliana na hali hiyo.