Polisi wachunguza zogo lililotokeamjini Malindi kuhusu ardhi yenye utata

  • | Citizen TV
    599 views

    Polisi mjini Malindi wanachunguza vurumai zilizotokea nje ya Hoteli moja hapo jana baada ya watu waliokodiwa kuvamia ardhi yenye utata na kutaka kuingia.