Wanafunzi kutoka kaunti ya Homa Bay watumia talanta kuwahamasisha wenzao walioacha shule

  • | Citizen TV
    473 views

    Kikundi cha wanafunzi kutoka shule ya upili ya Sindo ilioko ufuoni mwa ziwa Viktoria kaunti ya Homa Bay sasa wanatumia vipaji vyao vya wimbo na densi kutowa hamasisho kwa wenzao walioacha shule na kujiunga na shughuli za uvuvi na wengine kuwacha masomo baada ya kupachikwa mimba.