Wasomi na Serikali waagizwa kutekeleza ripoti za utafiti wanazozifanya kusaidia kusuluhisha matatizo

  • | Citizen TV
    451 views

    Wasomi na Serikali wameagizwa kutekeleza ripoti za utafiti wanazofanya, ili kusaidia kusuluhisha changamoto ulimwenguni ikiwemo mabadiliko ya tabianchi.