Raslimali za uchumi wa baharini katika kaunti ya Lamu hazijatumika vyema kwenye miradi ya eneo hilo

  • | Citizen TV
    231 views

    Asilimia zaidi ya 80 ya raslimali za uchumi wa bahari na maziwa katika kaunti ya Lamu hazijatumika vyema ili kuwekeza katika miradi mbalimbali ya maendeleo….hii ni kulingana na Idara ya uvuvi ya Lamu ikisema imeweka mikakati kwa ushirikiano na wadau mbalimbali ili kutumia raslimali hizo vyema zinufaishe jamii.