Miradi inayofadhiliwa na Benki ya Dunia katika kaunti ya Garissa yakwama kutokana na siasa duni

  • | Citizen TV
    175 views

    Watekelezaji wa miradi za kijamii inayofadhiliwa na benki ya dunia katika kaunti ya Garissa sasa wanalalamikia kuingiliwa kisiasa kwa miradi hiyo na kuifanya kuwa ngumu kukamilika