Serikali ya kaunti ya Nakuru yapiga marufuku uuzaji wa pombe katika maeneo ya kuegesha magari

  • | Citizen TV
    674 views

    Serikali Ya Kaunti Ya Nakuru Hapo Jana Ilipiga Marufuku Uuzaji Wa Pombe Katika Maeneo Ya Kuegesha Magari Na Hata Sokoni. Ni Marufuku Iliyoibua Hisia Miongoni Mwa Wakaazi Na Wafanyabiashara Mjini Humo.