Makundi zaidi ya 145,000 yatuma maombi ya mkopo wa hazina ya hasla

  • | Citizen TV
    281 views

    Makundi zaidi ya 145,000 yametuma maombi ya mkopo wa hazina ya hasla. Waziri wa vyama vya ushirika na biashara ndogondogo simon chelugui amedokeza haya na kusema kuwa hatua hii itapunguza tatizo la mtaji miongoni mwa wafanyabiashara. Chelugui amezungumza akizindua kongamano la muungano wa vyama vya ushirika jijini mombasa.