Vijana katika kaunti ya Taita Taveta wahamasisha jamii kuhusu unyanyasaji wa kijinsia

  • | Citizen TV
    755 views

    Makundi ya vijana katika kaunti ya Taita Taveta yamezidi kuungana kupitia Sanaa ya uigizaji ilimradi kuhamasisha jamii kuhusu mimba za mapema, unyanyasaji wa kijinsia na maambukizi ya virusi vya HIV.