Rais Ruto awarai wabunge kupitisha Mswada wa Fedha

  • | Citizen TV
    1,997 views

    Rais William ruto amewasisitizia wabunge kupitisha mswada wa fedha ili kuwezesha serikali kuafikia malengo ya kuhudumia wakenya akisema kuwa serikali haiwezi endelea kukopa. Akifungua Hospitali ya Kerugoya kaunti ya Kirinyaga, Rais Ruto amesema kuwa mswada huo una manufaa mengi kwa wakenya na utasaidia kusisimua uchumi wa nchi na kutoa nafasi zaidi za kazi.