Bunge imeidhinisha uteui wa Noordin Haji NIS

  • | Citizen TV
    1,144 views

    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji sasa anasubiri kuapishwa na rais ili kuanza majukumu yake mapya baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha uteuzi wake kuwa mkurugenzi mkuu wa idara ya ujasusi. Haji atachukua wadhifa anaoshikilia meja jenerali mstaafu Philip Kameru ambaye anastaafu.