Mwanamke Bomba | Khadija Mohamed Bakaldy anahusika na kuchanga damu

  • | Citizen TV
    401 views

    Baada ya kuhangaika alipotapatwa na tatizo la upungufu wa damu, alikata shauri kuisaidia jamii isipitie masaibu kama yake. Khadija Mohamed Bakaldy alishirikiana na wenzake waliopitia masaibu kama yake, na kuanzisha shirika la kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuchangia damu huko mombasa.licha ya Changamoto zilizowakabili, hawakufa moyo na kufikia sasa shirika Hilo limesaidia mamia ya wagonjwa kupata msaada wa damu.