Wajane katika kaunti ya Busia walalamikia unyanyapaa na dhuluma za kijinsia eneo hilo

  • | Citizen TV
    446 views

    Wajane katika kaunti ya Busia wamelalamikia unyanyapaa na dhuluma za kijinsia na kunyang'anywa ardhi waume wao wanapofariki. wajane hao wanasisitiza kwamba wakati umefika kwa jamii kuwakubali na kukomesha dhuluma hizo, mbali na kuwapa nafasi akina mama wajane kujiendeleza kiuchumi pasi na kuwekewa vikwazo.