Mkopo wa vijana na SMES Kiambu

  • | K24 Video
    52 views

    Huko Kiambu, mpango wa kuwapiga jeki wafanyibiashara wadogo na hata vijana na kina mama wanaoanzisha biashara, umezinduliwa rasmi na serikali ya kaunti. Mikopo itatozwa kiwango cha chini zaidi cha riba na inatarajiwa kusaidia kuboresha hali ya uchumi katika kaunti yote ya Kiambu. Awamu ya kwanza iliyotolewa ni ya shilingi bilioni moja nukta tatu.