9 Sep 2025 1:09 pm | Citizen TV 1,817 views Duration: 2:25 Mshukiwa mmoja wa wizi wa piki piki katika mji wa Madogo kaunti ya Tana River ameuwauwa kwa kuteketezwa na wenyeji baada ya kujaribu kuiba piki piki ya mkazi mwendo wa saa kumi na moja alfajiri ya leo.