9 Sep 2025 1:26 pm | Citizen TV 251 views Duration: 2:07 Katibu katika wizara ya mawasiliano na uchumi wa mitandao John Tanui ametoa hakikisho kwa wanamitindo kuwa serikali itaendelea kuhakikisha wanafaidi katika kazi zao