- 375 views
Mbunge wa Emuhaya Omboko Milemba alijipata taabani baada ya matamshi yake katika hafla ya michezo ya muungano ya walimu wa shule za upili KUPETT kaunti ya Homa-Bay. Zogo lilianza wakati mbunge huyo alijitambulisha na kusema alipga kura kuunga mkono mswada wa fedha katika bunge la kitaifa. Ni msimamo uliowaghadhabisha zaidi ya walimu 300 waliokuwa wakishiriki michezo hiyo na kumuamrisha aondoke. Licha ya Katibu Mkuu wa KUPPET Akello Misori kuwasihi walimu kuwa na subira, walimu hawa walisimama na azma yao wakisema mswada huo ni hatari kwao.
Mbunge Milemba wa Emuhaya afurushwa kwenye hafla baada ya kukiri kuunga mkono mswada wa fedha 2023
- - Duniani Leo ››
- 11 Aug 2025 - Elevated prolactin during pregnancy can reduce intimacy.
- 11 Aug 2025 - The Devolution Conference 2025 kicks off tomorrow and will run till Friday.
- 11 Aug 2025 - NCIC says hate speech in rallies undermines leadership and violates constitutional values.
- 11 Aug 2025 - 28 years in bed: Naomi's relentless fight for dignity, one day at a time
- 11 Aug 2025 - Devolution system's good, bad and ugly 12 years later
- 11 Aug 2025 - Between refuge and ruin: How Dadaab's survival battle is fuelling an eco crisis
- 11 Aug 2025 - Like Jomo Kenyatta and Kwame Nkrumah, 'saviour' Ruto has disappointed
- 11 Aug 2025 - As the body enters prolonged nutrient deprivation, the visible and invisible signs of starvation intensify.
- 11 Aug 2025 - Her loans, care work, and sacrifices earn her equal share of matrimonial property after divorce.
- 11 Aug 2025 - Mr Gachagua accuses the National Assembly of abusing the judicial process and undermining the integrity of the Supreme Court.