Rais Ruto aidhinisha mswada wa fedha kuwa sheria

  • | Citizen TV
    296 views

    Ni rasmi kuwa Wakenya sasa watalazimika kujifunga kibwobwe zaidi baada ya Rais William Ruto kutia saini mswada tata wa fedha kuwa sheria. Hatua ya rais sasa ikimaanisha kuwa huenda Wakenya wakakabiliwa na wakati mgumu kutokana na baadhi ya vipengee kwenye sheria hii. Na kama Chemutai Goin anavyoarifu, ushuru wa bidhaa za petroli sasa utapanda maradufu.